JUKWAA LA KATIBA KATIBA PENDEKEZAWA HAPANA MUDA HAUTOSHI


 Mratibu wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Diana kidala, akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza mkutano nao uliofanyika katika ofisi za jumkwaa hilo Sinza Dar es salaam leo

 Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Hebron Mwakagenda, aakizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuipigia kura ya maoni mwezi Aprili mwaka huu akisema muda hautoshi ungeahilishwa. Mmazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi za Jukwaa hilo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mchelela Makubana  wa Jukwaa la katiba na Kulia ni Mratibu wa Jukwaa hilo  Diana Kidala






Mjumbe wa Jukwaa hilo ambaye ni mwanasheria wa kituo cha haki za Binadamu, Gelina Fuko. akitoa ufafanuzi
 Wanahabari wakipata huduma ya nakala ya katiba pendekezwa


 Mpitanjia akiluka maji ya chooni yanayotililika kwenye barabara ya mtaa wa Sinza karibu na Hosteli za Chuo kikuu cha Dar es Salaam, huku muuza ndizi, maembe na machungwaakien delea na biashara yake kitu ambacho kinaweza kuhatalisha afya za wateja wake. manispaa mko wapi wakati huu wa mvua kuzibua mashimo hayo.
 Wakpitanjia wakitafakali kupita kwenye maji yaliyochanganyikana na kinyesi cha binadamu katika mtaa huo


Hewa mbaya katika eneo hilo imetapakaa kanakkwamba hakuna viongozi wa kuweza kusaidia kuondosha adha hiyo

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA