TAKA MALI PUGU KINYAMWEZI DAR


Vijana wanaolizunguka Dampo la taka la Pugu Kinyamwezi jijini Dar es Salaam, wakiokota mabaki katika dampo hilo ili waweze kwenda kuuza. Wanadai familia zao hazina uwezo ndiyo maana hushinda kwenye dampo hilo taka kwa wakati mwingine  kwao ni mali

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.