MAMBO NDANI YA UKUMBI WA BUNGE DODOMA NA NJE KUSAKA KURA ZA KUPITISHA KATIBA

 Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar, Ali Juma Khatib akipiga kura ya siri kwa sura 10 za Rasimu inayopendekezwa ili kupata rasimu ya mwisho
 Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Askofu, Amos Mhagachi, akizungumza Bungeni Dodoma jana alipopewa nafasi na mwenyekiti wa bunge hilo wakati wa kikao cha Uhakiki wa Rasimu inayopendekezwa  kabla ya Upigaji kura ili kupata Rasimu ya Mwisho

Chenge akichangia  kabla ya kufika muda wa kupiga kura


Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Doto Kicheko akipiga kura ya siri kwa sura 10 za Rasimu inayopendekezwa ili kupata rasimu ya mwisho

Magufuli na Mwinyi, wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa bunge.

Mjumbe wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, Dkt Tulia Ackson (kulia) na Costantine Akitanda wakipiga kura ya siri kwa sura 10 za Rasimu inayopendekezwa ili kupata rasimu ya mwisho
Dk. Mwakyembe, akichangia mawazo yake bungeni
Sijui kura itapita wajumbe wa bunge hilo wakishuhudia upigaji wa kura. Kingungengombare Mwiru na Profesa Mark Mwandosya
Chenge na Kingunge
Wasira akichangia
Kingunge
Mtemi Chenge, akitoa mawazo yake
Mwenyekiti maji yashingo tutapita kweli, Kingunge,  huenda akimuuliza Mwenyekiti wa Bunge hilo Samuel Sitta

Wajumbe wa Bunge hilo, Mizengo Pinda na Balozi Seif Idd
Mizengo Pinda na Profesa Mwandosya nje ya ukumbi wa bunge
Mizengo Pinda na John Komba wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa bunge
Mjumbe Mizengo Pinda, akiwatoa wasiwasi waislamu kupatikana  mahakama ya Kadhi mwakani kama itawezekana tusubili
Mwenyekiti wa Bunge hilo akiwa na karatasi za kupigia kura za ndiyo au hapana

Sheikh Jongo, akichangia

Pinda na Membe wakijadiliana jambo





Cheyo, akichangia
Jongo, akitahadhalisha
Mjumbe Pinda akitoa ufafanuzi

Profesa Mahalu, akipongezana na mjumbe mwenzake
Dk. Tulia Akson, akichangia mawazo yake
Wajumbe waliojitokeza kupiga kura
Wajumbe kutoka Zanzibra wakipiga kura za siri

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA