MSEMAJI WA FAMILI YA LEWIS MAKAME, JAJI MKUU MSTAFU RAMADHANI AZUNGUMZA

 Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Jaji Lewis Makame, nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam jana.

 Kitabu cha maombolezo
 Baadhi ya wanafamilia wakijadiliana jambo
 Msemaji wa Familia Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani, akiwapa utaratibu wa mazishi



Msemaji wa familia ya marehemu Jaji mstaafu Lewis Makame, Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani (kulia), akizungumza na  waombolezaji waliofika nyumbani kwa marehemu, Masaki jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni mkwe wa marehemu,  Aidan Semaya na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda

 Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu



 Wadogo wa marehemu wakijadiliana jambo
 Mtoto wa marehemu (kulia) akipewa pole na waombolezaji

Msemaji akiagana na waombolezaji



Majaji wakiwa nyumbani kwa marehemu
Msemaji akiagana na wanandugu

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA