Posts

Msemaji Mkuu wa Serikali azungumza siku ya Kimataifa ya Upatikanaji Habari kwa wote

Image
Viongozi Toeni Taarifa kuhusu Mafanikio ya Serikali-Msigwa   Na Grace Semfuko, MAELEZO   Septemba 28, 2022   Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amewataka Viongozi wa Taasisi za Serikali Nchini, kutoa taarifa za mafanikio ya utendaji kazi wa taasisi hizo kwa Vyombo vya Habari, ili kuwaonesha Wananchi maendeleo yanayofanywa na Serikali yao.   Amesema yapo mambo mengi yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na hivyo ni muhimu kuyaweka wazi ili wananchi wayaone.   Ameyasema hayo leo Septemba 28, 2022 Jijini Dar es Salaam aliposhiriki mahojiano katika kipindi cha Baragumu kinachorushwa na Televisheni ya Channel Ten ikiwa ni Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Habari kwa Wote, na kubainisha kuwa wapo baadhi ya watendaji wanaokwepa kutoa taarifa za mafanikio ya taasisi zao kwa wananchi na kuwataka kuzitoa taarifa hizo.   “Wapo baadhi ya viongozi ni wakwep...

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro , afungua mkutano wa kimataifa ulinzi na usalama kwa wanahabari

Image
  Waziri wa Katiba na Sheria   Dkt. Damas Ndumbaro , akifungua mkutano wa Kimataifa unaozungumzia Usalama na Ulinzi kwa wanahabari kwa nchi za Aftika Masharki na Kati, mkutano  unazungumzia Usalama kwa waandishi wa habari kulinda Maisha yaoa Jenerali Ulimengu akimsikiliza Waziri Ndumbaro Wanahabari wakisikiliza kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa hapo Mwongoza mada Dkt. Ananilea Nkya, akimtambulishaUlimwengu ili atoa mada yake                                    Jenerali Ulimwengu, akitoa mada iliyokuwa ikizungumzia ulinzi

UTEUZI WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA KWA WAGOMBEA WA NAFASI ZA UENYEKITI WA CCM WILAYA.

Image
TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya Chama C ha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) imekutana chini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa White House Makao Makuu, Jijini Dodoma Jumanne tarehe 27 Septemba, 2022. Pamoja na mambo mengine Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imefanya uteuzi wa majina ya wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa CCM wilaya kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2022 ibara ya 82(1) ambapo mikutano mikuu ya wilaya itafanyika kote nchini kuanzia tarehe   01 -02 Oktoba, 2022.                 Aidha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) imeongeza muda wa kuchukua na kurejesha fomu kwa nafasi zote za Halmashauri Kuu ya Taifa ambapo zoezi hilo la kuchukua na kurejesha fomu litaanza tarehe 1-5 Oktoba, 2022 kwenye Ofisi za mikoa, Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Dar es Salaam na Makao Makuu ya CCM Dodoma. Shaka Hamdu ...