Posts

WAZIRI PROFESA NDALICHAKO APOKEA SHEHENA YA VITABU VYA SAYANSI KUTOKA INDIA

Image
Waziri wa   Elimu, Sayansi na Teknolojia na Elimu ya Ufundi Profesa Joyce. Ndalichako, akiongozana na mgeni wake Balozi wa India nchini Sandeep Arya kuingia katika ukumbi kwa ajili ya kukabidhi shehena ya vitabu vya Sayansi kwa shule za Sokondari nchini. Hafla hiyo imefanyika leo  Wakiwa wamesimama kwa ajili ya wimbo  Balozi wa India nchini Sandeep Arya akizungumza kabla ya kukabidhi  Waziri Profesa Ndalichako akizungumza na kuiopongeza Serikali ya India na Balozi mwenyewe kwa msaaada huo UBALOZI wa India umekabidhi vitabu vya Sanyansi,Hisabati, Biolojia na Kemia   zaidi ya milioni moja kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha Tatu,nne, tano na sita ili wanafunzi waweze kujifunza masomo hayo. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana, Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako( ALIYESIMAMA) sema kuwa, vitabu hivyo vitapelekwa kwenye shule za vijijini ambazo miund...

JAKWAA LA WAHARIRI LAVULIWA NGUO NA MAKONDA

Image
 Katibu wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF) Neville Meena , akiwaeleza wanahabari ni kwanini wapo hapo  kwa siku ya leo, hata hivyo kikao hiki kilihalibiwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda baada ya kukataa katakata kuomba radhi kwa kile alichokifanya eti hata angeshuka .. hakika ashukuru wanahabari wa sasa wanasubra ingekuwa enzi zetu tunaaza uanahabari ninahakika angebaki ukumbini peke yake kwa kauli yake hiyo. Nini anachokilingia yeye ni binadamu kama binadamu wengine, hakuna neno tamu na zyri kama kuomba radhi hata ukiwa mkubwa kiasi gani uwe na mafeddha kiasi gani utajishushia hadhi kwa kitu kidogo chenye maneno au talakimu 8 tu na utajijengea heshima kubwa kwa maneno hayo ukiyatamka. Hakika siku ya leo Jukwaa la Whariri TEF limepata aibu ya mwaka kuna msemo unaosema ukicheza na mbwa atakufuata hadi msikitini, leo makonda kawafuata hadi kwa waandishi wao wanaowatuna kila siku kwenda kwenye matukio mbalimbali zikiwemo zake Makonda amewavua nguo kwa kuwaamb...