RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA WA MABALOZI 6 WANAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Cyprus hapa nchini Andreas Panayiotou ambaye makazi yake yapo Muscat, Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Bangladesh hapa nchini Maj. Gen. Abdul Kalam Mohammad Humayun Kabir mwenye makazi yake Nairobi, Ikulu jijini Dar es Salaam. . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Nepal hapa nchini Amrit Bahadur Rai ambaye makazi yake yapo Pretoria Afrika Kusini mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ecuador hapa nchini Benys Toscano Amores ambaye makazi yake yapo Addis Ababa nchini Ethiopia. Rais wa Jamhuri ya M...