BAJETI YA WIZARA YA aRDHI NA mAENDELEO YA mAKAZI MJINI dODOMA
Wabunge wa Chadema, wakijadiliana jambo bungeni leo wakati usomaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka 2016 hadi 2017 bungeni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi akisoma bajeti ya wizara yake bungeni Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenesta Mhagama (kushoto), akimsikiliza kwa makini na Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage katikati jana bungeni kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje , Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dk. Susan Kolimba Naibu Spika Dk. Tulia Ackson (kushoto), akiwasikiliza wabunge wakijadiliana jambo bungeni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi, akinywa maji baada ya kumaliza kusoma hotuba yake jana bungeni Waziri William Lukuvi na Naibu wake Angelina mabula,wakisikiliza majadiliano yaliv...