BAJETI YA WIZARA YA aRDHI NA mAENDELEO YA mAKAZI MJINI dODOMA
Wabunge wa Chadema, wakijadiliana jambo bungeni leo wakati usomaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka 2016 hadi 2017 bungeni
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi akisoma bajeti ya wizara yake bungeni
Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenesta Mhagama (kushoto), akimsikiliza kwa makini na Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage katikati jana bungeni kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dk. Susan Kolimba
Naibu Spika Dk. Tulia Ackson (kushoto), akiwasikiliza wabunge wakijadiliana jambo bungeni
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi, akinywa maji baada ya kumaliza kusoma hotuba yake jana bungeni
Waziri William Lukuvi na Naibu wake Angelina mabula,wakisikiliza majadiliano yalivyokuwa bungeni wakati wakijadili bajeti ya wizara yake
Wakihakiki takwimu ili waje wajibu maswali ya wabunge kwa ufasaha
Msemaji wa Kambi ya Upinzani bungheni Wilfred Lwakatare, akisoma bajeti ya upinzani ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi kwa mwaka 2016 na 2017
Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Cecilia Pareso, akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi kwa mwaka 2016 na 2017
Comments
Post a Comment