Posts

WABUNGE WA CCM KATIKA MKUTANO WA KUMCHAGUA SPIKA DODOMA

Image
 MBUNGE MTEULE WA MAGUFULI TULIA ACKSON MWANSASU, AKIWAN UKUMBI WA WHITE HOUSE DODOMA LEO Wabunge Hussein Bashe Nzega Mjini katikati , akibadilishanamawazo na wabunge wenzake kabla ya kuanza uchaguzi wa spika jana   Aishi hilaly na Vick Kamata  Kamara na Nyarandu, wakizungumza ndani ya ukumbi wa mkutano Sixtus Mapunda na Nkamia wakizungumza  Ezekiel Maige na Mwigulu  Nchemba Wabunge wakiwa ndani ya ukumbni wa mikutano  Zungu na Mwijage  Bashe, Nanuye na Silaa wakiwa kwenye mazungumzo   Wabunge kutoka Zanzibar, wakaimsikiliza kwa makini katibu mkuu wa Chama hicho alipokuwa akifungua kikao cha kumchagua Spika   Andrew Chenge, profesa Anna Tibaijuka . wakibadilishana mawazo na mgombea wa Uspika Job Ndugai kabla ya kuanza uchaguzi jana Zungu na Nyarandu   Profesa,Sospita Muhongo, akibadilishana mawazo na mbunge mwenzake Hussein Nassor, wakisubili ufunguzi wa kikao cha s...