WAZIRI WA AFYA MOHAMED MCHENGERWA AWASILISHA BAJETI YA WIZARA LEO BUNGENI

Wageni wa Waziri kutoka jimboni kwake wakipiga picha na mwenyeji wao baada ya kuwasilisha bajeti yake

Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa, akiomba Sh Trioni  1.8 kwa ajili ya Bajeti ya Wizara ya Afya kwa Mwaka 2026 na 2027, wabunge wengi wakichangia bajeti ya wizara yake wameonyesha nia ya kumuunga mkono kutokana na  juhudi anazozichukua  kuhudumia wananchi wa Tanzania pamoja na ujenzi wa hospitali mpya mikoani na juhudi yake ya kuonyesha nia ya ujenzi wa Hospitali  ya Taifa ya Muhimbili ambayo itakuwa ya Mfano nchini,  iliyopo sasa imepitwa na wakati. Hata hivyo baadhi ya wabunge wakichangia wameomba sasa muda umefika wa kuanza kujengwa Hospitali za rufaa kwa kanda ili kupunguza misongamano katika Hiospitali ya Muhimbili























 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?