WAZIRI AWESO AWAKILISHA BAJETI YA WIZARA YAKE

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso,  akiwasilisha bajeti ya Wizara yake leo Bungeni,  pamoja na mambo mengine  aliwabainishia wabungeni kuwa  familia yake, hususan wake zake, ndiyo uwekezaji wake mkubwa na wa thamani zaidi. Akimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumwamini tena kuongoza wizara hiyo amesema atahakikisha hamwangushi Rais atahakikisha anafanya kazi kwa uwezo wake wote. Kila Mtanzania atapata maji chini ya uongozi wa Rais kipenzi  cha Watanzania

Mawaziri wakijadiliana bungeni wakati wa majadiliano ya bajeti hiyo
Naomba maji na mimi kwetu shida huenda akisema hivyo mbunge  Asenga  akizungumza na waziri Aweso















 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?