WABUNGE WAMWAGIA SIFA KEDEKEDE WAZIRI MKENDA NA NAIBU WAKE WANU NA KATIBU MKUU WA WIZARA HIYO MAMA NOMBO


Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo wamemwagia sifa kemu kemu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda,  Naibu Waziri wa Wizara hiyo . Wanu Hafidh Ameir, wakati wa kuchangia bajeti ya wizara hiyo aliyoiwasilisha leo asubuhi na kuanza kujadiliwa na wabunge hao kila mbunge aliyenyayuka kuchangia alisifu ufanyaji kazi wao pamoja na watendadi wengine wa wizara hiyo wakidai ni wasikivu wapigie simu muda wowote wanatatua shida yako hususani watendaji hao wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa. Carolyne Nombo. "Hakika wizara hiyo imepata watendaji elimu ya amali itatufikisha mbali tumechelewa sana kwa watendaji hawa tutafika mbali sana ni waelewa wanaelimu ambayo inawafanya wanaweza kwenda sehemu yoyote na kuchota ujuzi na kuuleta hapa nchini ", alisema mbunge wa Msalala Mabula Magangila
Waziri wa Elimu sayansi na Teknolojia, Profesa. Adolf Mkenda akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo asubuhi Bugeni Dodoma
Naibu Waziri wa Wizara hiyo . Wanu Hafidh Ameir, akijibu maswali ya wabunge kipindi cha maswali na majibu leo asubuhi bungeni










Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Sylvia Lupembe, akiwapanga wadau wa wizara hiyo kupiga picha ya pamoja na viongozi wake




Mabula Magangila, akichangia bajeti ya wizara hiyo







 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?