UCSAF YAWAKUTANISHA WAHARIRI NA WAANDISHI WA MAKAO MAKUU DODOMA

Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote UCSAF, Albart Richard, akifungua semina ya Wahariri na Wanahabari wa Makao Makuu Dodoma  iliyofanyika Makao Makuu ya Mamlaka hiyo yaliyopo  eneo la ndejengwa  leo pamoja na mambo mengine wandishi waliweza kufahamishwa kazi za Mamlaka hiyo zinavyoendelea kufanyika nchi nzima na  pia wakafahamishwa jinsi wanavyoendelea kusambaza mawasiliano hadi vijijini   na kufunga Internati za bure kwenye maeneo ya mkusanyiko ya watu wengi mijini na vijijini. Naye Mwenyekiti wa Chama cha Wanadishi wa habari Mkoa wa Dodoma Mussa Yusuf, aliushukuru uongozi wa mamlaka hiyo kwa kitendo chake cha kuita wanahabri wa mkoa huo kuwafahamisha mambo mbalimbali yanayofanywa na mfuko huo, alisema hapo mwanzo walikuwa wakipata tabu kuwafikia sasa imekuwa lahisi kwani wameweza kubadilishana hata mawasilian kitumambacho hakikuwepo hapo mwanzo.


Wanahabari wakiwa katika semina hiyo














 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?