KATIBU WIZARA YA MAJI AWAFUNDA WABUNGE

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, akitoa mada leo 30.4.2026,kwa wabunge iliyohusu upatikanani wa maji katika majimbo ya uchaguzi nchi nzima, Katibu huyo amewatoa wasi wasi wabunge kuhusu maji yanayotoka Ziwa Victoria yatapita kila sehemu kama ilivyopangwa.



















Spika Mussa Zungu, akifungua semina hiyo 



Waziri Aweso amesema Serikali imelenga kufikisha huduma ya maji katika vijiji 1,575 vilivyosalia kufikia mwaka 2030, ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha upatikanaji wa maji unakuwa wa uhakika na endelevu nchini kote, hakuna jimbo ambalo halitapata huduma za maji aliwahakikishia wabunge hao 



 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?