TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA WABUNGE WANAWAKE WA MABUNGE UKANDA WA MAZIWA MAKUU

Spika Mussa Azan Zungu , akizungumzia Mkutano wa jukwaa la Mabunge la Kimataifa kuhusu Eneo la Maziwa Makuu (FP-ICGLR), kwa ushirikiano na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo leo limesaini Makubaliano ya Uenyeji kwa ajili ya Mkutano huo  wa kwanza wa Wabunge Wanawake (WPC) 2026 nchini. hafla ya kusaini ilifanyika ofisini kwake jijini Dodoma.





Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Baraka Leonard, akizungumza  kuhusu mkutano wa wanawake wa mabunge ya nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu unaotarajiwa kufanyika nchini una lengo la kuwajengea wanawake uwezo katika masuala ya uongozi, maamuzi na maendeleo ya jamii, mazungumzo hayo yalifanyika Ofisi ya Spika jijini Doddoma leo


























 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?