WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU AHITIMISHA BAJETI YAKE NA KUPITISHWA KWA KISHINDO NA WABUNGE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akihitimisha bajeti ya Wizara yake leo bungeni jijini Dodoma ambapo iliweza kuchangiwa na wabunge kwa muda wa wiki moja  ambapo iligusa nyanja mbalimbali, wabunge walimpongeza kwa kazi anazozifanya  kwa kuweza kutembelea mikoani na kugusa majimbo yake ambapo aliweza kuzumngumza na wananchi moja kwa moja, akihitimisha amesema sasa ni muda wa kuwatumikia wananchi na siyo muda wa maneno sasa ni vitendo tuu asiyetaka kwenda na kasi yake ampishe ameapa kutumikia wananchi "Nimewasikia kwa masikio yangu mkitoa michango yenu sasa tukachape kazi fedha zitatoka kilambunge atapata kwenye jimbo lake ili tuweze kuletea mandeleo wananchi wanamatalajio makubwa na Chama cha  Mapinduzi walichokichagua kwa kishindo",alisema Nchemba.

Wakuu wa Mikoa wakisikiliza bajeti ya Waziri Mkuu






















 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?