TUMWAMINI MUNGU TUACHANE NA MAUVUMI YA KUGUSANA MABEGA..... ASKOFU
Askofu wa Kanisa la Pentecostal Evangelical of Africa (PEFA) la Sayuni City Charch lililopo eneo la Ntyuka jijini Dodoma........akitoa mahubilia kwa waumini wa kanisa hilo leo katika kuanzimisha sikukuu ya Pasaka, amabapo aliwaambia katika kuadhimisha sherehe hiyo watanzania hawana budi kumwamini mungu na mwanae Yesu Kristo, wajiepushe na mambo ya uvumi ,wapendane kufanya hivyo watakuwa wanatenda haki katika nchi hii kutofanya hivyo ni kutakiana mabaya kila uchwao", oneni sasa mauvumi kila kona mara mtu kageuka chatu namara mtu akikushika bega sehemu zako za siri zinatoweka nani siri zake zimetowe mbona hatumuoni atoe ushahidi", alisema Askofu huyo na kuongeza kwamba maandiko yanasema kutakuwa na taabu nyingi, njaa ,matetemeka na manabii wa uongo ambao hivi sasa wanazusha kila balaa sasa ni wakati wa kumrudia mungu hayo yote yatakuwa hayanatija kwa binadamu wapendane waasche kuzuliana...
Comments
Post a Comment