PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge  Mussa Azzan Zungu (kulia), akimsikiliza kwa makini Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza  Johari, mazungumzo hayo yalifanyikia ndani ya ukumbi wa bunge leo. Bunge lilikuwa likisimamiwa na Mwenyekiti Deo Mwanyika

Jesca Magufuli (kulia), akimweleza jambo Waziri Angella Kairuki

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)  Reuben Kwagilwa, akijibu maswali ya wabunge 


Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, akijibu maswali ya wabunge







Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation Tuli Mwambapa, akitambulishwa bungeni




















 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?