TUME YA USHINDANI FCC INAMENO -----NGASONGWA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Khadija Ngasongwa,akizungumza na wanahabari katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya habari MAELEZO jijini Dododoma leo, akiwaeleza kuhusu majukumu ya tume hiyo na utekelezaj wake kwa siku 100 za Rais Dkt. Samia Suhuhu Hassan, Kaimu huyo alibainisha kwamba tume yake ya Ushindani (FCC) ni Taasisi ya Umma iliyoanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 62(1) cha Sheria ya Tume ya Ushindani Na. 8 ya mwaka 2003 (FCA). Aidha Ngasongwa amebainishwa kwamba TCC ina "meno" (uwezo wa kisheria na nguvu) ya kudhibiti biashara, ina mamlaka ya kukuza ushindani wa haki, kuzuia mienendo ya kibiashara inayohadaa, kudhibiti bidhaa bandia, na kuilinda haki ya mlaji


Baadhi ya maofisa wa Tume hiyo na waidara ya habari maelezo wakiwa katika mkutano huo
Wanahabari wqakiwjibika






 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?