SERIKALI YAMPATIA BILIONI 32.2 MKEMIA MKUU ---------- DKT MAFUMIKO
Mkemia Mkuu wa Serikali Dkt. Fidelice Mafumiko, amesema kwa kipindi cha miaka mitano Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imewekeza kwa kipindi cha miaka mitano takribani Shilingi Bilioni 38. 2.kwenye ununuzi wa mitambo
ya kisasa ya uchunguzi na vifaa vya maabara, aidha aliwabainisha wanahabari kwamba. Mamlaka hiyo (MMS) ilianzishwa chini ya Sheria ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Na.8 ya Mwaka 2016. Aidha amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuiwezesha kwa hali na mali mamlaka yake mpaka sasa imefikia hapo ilipo.
Comments
Post a Comment