MWENYEKITI KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAJI NA MAZINGIRA JACKSON KISWAGA NA KAMATI YAKE WAKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA MAJI
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Jackson Kiswaga (kushoto), akiongoza kikao cha Kamati yake ilipokutana na Maofisa wa Wizara ya maji wakiongozwa na Waziri wake Juma Aweso . Kikao hicho kilifanyikia katika ukumbi za Mikutano ya Bunge jijini Dodoma. Aidha Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wakiongozwa na Mwenyekiti wake wameridhishwa na utekelezaji wa majukumu ya usimamizi wake wa Watendaji wa Wizara ya Maji chini ya Waziri wa Jumaa Aweso
Maofisa wa Wizara ya MajiWabunge ambao ni wajumbe wa kamati hiyo wakipitia makablasha ya wizara ya Maji
Mjumbe wa Kamati hiyo Mbunge Mwanaisha Ulenge, akichangia
Maofisa wa Wizara ya MajiWabunge ambao ni wajumbe wa kamati hiyo wakipitia makablasha ya wizara ya Maji
Mjumbe wa Kamati hiyo Mbunge Mwanaisha Ulenge, akichangia
Comments
Post a Comment