MIFUGO KUINGIA KWENYE VYANZO VYA MAJI NI TATIZO----- DKT. SHINHU
Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria (LVBWB) nchini Tanzania Dkt. Renatus Shinhu, akizungumza na wanahabari katika ukumbi wa Idara ya Habari MA EKLEZO jijini Dodoma leo akizungumzia utendaji kazi wa bodi hiyo akifafanua Ofisi yake inawajibika na usimamizi wa rasilimali za maji katika bonde hilo, ikijumuisha kuhakikisha upatikanaji endelevu wa maji na kushirikiana na wadau mbalimbali kuongoza miradi ya maendeleo ya maji
Comments
Post a Comment