PICHA ZA MATUKIO YA SIKU YA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SHERIA NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia, Majaji, wageni waalikwa pamoja na wananchi kwa ujumla kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 03 Februari, 2025.
Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan, spika wa Bunge Dkt. Tul;ia Ackson , Jaji Mkuu wa Prof. Ibrahim Hamis Juma na viongozi wengine wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa na ule wa Afrika Mashariki wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini yaliyofanyika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo February 03,2025
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma (katikati), akionoza maandamano ya Majaji kuingia katika eneo la maadhimisho ya siku ya sheria nchini
Wanakwanya wa Mahakama Kuu wakitoa burudani katika kilele hicho
Comments
Post a Comment