RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 NA TOLEO LA 2023 NA MITAALA ILIYOBORESHWA.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia . Profesa. Adolf Mkenda, akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dodoma, akielezea siku ya Uzinduzi wa Sera Mpya ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na Mitaala iliyoboreshwa Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Dkt. Omar Kipanga na Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo leo Agosti 26, 2024 amekutana na Katibu. Waziri Profesa Mkenda, amesema uzinduzi huo unatalajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu jijini Dodoma na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiye atakayezindua.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo,akizungumza kabla ya kumkalibisha waziri
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo,akizungumza kabla ya kumkalibisha waziri na Kushoto ni Afisa Habari wa Wizara hiyo Oliver Kato
Waziri Mkenda akibadilishana mawazo na katibu Mkuu wake Nombo kabla ya kuzungumza
Waziri Mkenda akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wake
Naibu Waziri Kipanga, akizungumza katika hafla hiyo
Wanahabari wakimsikiliza kwa makini Waziri
Comments
Post a Comment