KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAINYOSHEA KIDOLE DART


: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Serikali za Mitaa,  Justin Nyamoga, akisisitiza jamnbo alipokuwa akizungumza na vingozi wa Mabasi Yaendayo Haraka Jijini Dar es Salaam (DART),mbela ya Naibu Waziri wa Wizara hiyo Zainabu Katimba

Naibu Waziri TAMISEMI, Zainabu Katiba (kushoto), akiwa na viongozi wa DART mbele ya  wajumbe wa kamati hiyo waliofika hapo leo









Naibu Waziri Katimba, akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa kamati hiyo


 

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA