WABUNGE WATEMBELEA KWA WINGI BANDA LA EWURA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA ) Dkt. James Andilile, akimweleza jambo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji Profesa Mark Mwandosya wakati wakiwasili katika banda la Mamlaka hiyo lililopo katika maonyesho ya Nishati yaliyopo viwanja vya bunge jijini Dodoma. katikati ni Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya bodi ya Mamlaka hiyo Harun Masebu. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA ) Dkt. James Andilile, akimweleza jambo Spika Dkt. Tulia Ackson, baada ya kutembelea banda la Mamlaka hiyo Kulia ni Waziri wa Nishati January Makamba Dkt. James na Profesa Mwandosya, wakitoka kusikiliza bajeti ya Nishati Katibu Mkuu Wizara ya Nishati , Mhandisi Felchesmi Mramba, akibadilishana mawazo na baadhi ya Wakurugenzi waTaasisi zilizo chini ya wizara yake Dkt. James, akibadilishana mawazo na Mbunge Mwijage Waziri Makamba, akimweleza utaratibu wa vocha ya majiko ya Gesi S