Posts

Showing posts from April, 2023

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI IKULU

Image
WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kujibu maswali yaliyoulizwa na Waandishi, wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Waandishi, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2023.(Picha na Ikulu) WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kujibu maswali yaliyoulizwa na Waandishi, wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Waandishi, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2023.(Picha na Ikulu). WAKUU wa Vyombo vya Habari Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na

RAIS SAMIA AMEWAUNGANISHA WATANZANIA---DKT. BITEKO

Image
*Asisitiza Wototo Kupatiwa Elimu na Malezi Bora ili kujenga Taifa lililo bora* *Chemba, Dodoma* Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaunganisha watanzania katika Sekta zote nchini ili kuhakikisha wananufaika na rasilimali mbalimbali zilizopo pamoja na kujenga uchumi wa Taifa. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa kutoka Jumuiya ya Wazazi katika Maadhimisho Wiki ya Wazazi Kimkoa (Miaka 68 ya Jumuiya) yaliyofanyika Aprili 29, 2023 wilaya ya Chemba kwa Mtoro, Mkoani Dodoma "Rais Samia na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi amefanya kazi kubwa ya kuwaunganisha watanzania, leo wote tunaimba maendeleo, wote tunaimba maji, wote tunaimba barabara,  wote tunaimba madarasa kwa ajili ya watoto wetu na wote tunaimba maendeleo kwa ajili ya nchi yetu," amesema Dkt. Biteko. Akizungumzia kuhusu shule ya Sekondari Kuryo iliyosimama kwa muda mrefu amesisitiza kuwa atasimamia ili ufumbuzi upat

BALOZI MBAROUK ASHIRIKI SIKU YA UHURU WA AFRIKA KUSINI AITA WAWEKEZAJI WAKE NCHINI

Image
  Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (wa tatu kulia) aliposhiriki maadhimisho ya miaka 29 ya Uhuru wa Jamhuri ya Afrika Kusini yaliyofanyika jijini Dar es Salaam Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akizungumza katika maadhimisho ya miaka 29 ya Uhuru wa Jamhuri ya Afrika Kusini yaliyofanyika jijini Dar es Salaam Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) akizungumza katika maadhimisho ya miaka 29 ya Uhuru wa Jamhuri ya Afrika Kusini yaliyofanyika jijini Dar es Salaam wanaomsikiliza ni baadhi ya Wanadiplomasia wanaowakilisha nchi zao hapa nchini. Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akiongoza wanadiplomasia waliohudhuria  maadhimisho ya miaka 29 ya Uhuru wa Jamhuri ya Afrika Kusini kukata keki malum kwa ajili ya maadhimisho hayo yal

WANAWAKE JESHI KUBWA HAKUNA KULALA CHAAPENI KAZI -MAJALIWA

Image
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson Baada ya kuwasili katika hafla ya siku ya mwanamake wa Bunge iliyofanyika viwanja vya bunge jana usiku. Waziri Mkuu Kasim Majaliwa, akisalimiana na Katibu wa Bunge la Tanzania Nenelwa Mwihambi baada ya kuwasili katika hafla hiyo Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania ( TWPG ) Shally Raymond, akitoa nasaha zake katika hafl hiyo Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa akipiga picha na wajumbe wa chama hicho na waunga juhudi zao ambao ni baadhi ya wabunge wanaume Wajumbe wa Chama hicho wakipiga nao picha na Waziri Mkuu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipiga picha na wajumbe walioimba  wimbo maalum na shairi maalum katika hafla hiyo Picha na wanakamati wa maandalizi ya hafla hiyo Waziri mkuu Kassim Majaliwa, akimkabidhi zawadi Spika Dkt. Tulia Ackson Spika Dkt. Tulia Ackson ,akimkabidhi zawadi  Katibu wa bunge Nenelwa Mwihambi Katibu Mwihambi, akitoa salamu zake Waziri Mkuu akihutubia washiriki wa hafla hiyo  

WAZIRI TAX AMUAGA BALOZI WA RWANDA NCHINI

Image
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amemuaga Balozi wa Jamhuri ya Rwanda nchini Mhe. Meja Jenerali Charles Karamba, baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini. Akiongea wakati wa hafla ya kumuaga Balozi Karamba iliyofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam, Dkt. Tax amempongeza Balozi Karamba kwa kumaliza muda wake wa uwakilishi salama na kumpongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kukuza na kudumisha uhusiano mzuri na wa kindugu baina ya Tanzania na Rwanda katika kipindi chake cha uwakilishi nchini.  Aidha, Mhe. Tax ameeleza kwamba, wakati wa Uwakilishi wake, Balozi Karamba amechangia Kwa kiasi kikubwa kukuza ushirikiano wa Tanzania na Rwanda katika maeneo mbalimbali ikiwemo, biashara na Uwekezaji, Nishati, uchukuzi na ujenzi, na yapo maeneo ambayo nchi hizi mbili zitaendelea kushirikiana kwa ukaribu na maeneo mengine Tanzania itaendelea kubadilishana uzoefu na Rwanda. Naye, Mhe. Balozi Karamba ameishuk

MSHIKE MSHIKE BUNGENI LEO 27

Image
Mbunge wa Jimbo la Lupa , Masache Kasaka(kulia), akiingia bungeni leo na wabunge wenzake kwa ajili ya bunge la bajeti ya mwaka huu   Wabunge Olivar Semguruka na Nassor Amar, wakiwahi bungeni kabla ya siwa kuingizwa ukumbini Mbunge wa jimbo la Igalula akijadili bajeti ya Wizara ya Madini leo Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa, akijadiliana jambo na Waziri wa  Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulenga Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Deogratius Ndejembi, akijibu maswali ya wabunge leo Mbunge wa Viti Maalum Esther Midimu, akichangia katika maswali ya asubuhi Shally Josepha Raymond.akichangia kipindi cha asubuhi Mbunge Viti Maalum Kunti Mjala, akichangia bajti ya Wizara ya Madini MBUNGE wa viti maalum wa Mkoa wa Manyara , Regina Ndege, akichangia bajeti ya Wizara ya Madini Naibu Waziri Byabato, akijibu maswali ya wabunge kipindi cha  asubuhi NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Eng. Godfrey Kasekenya , akijibu maswali ya wabunge Waziri wa Kili