RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA MAAFISA WA SNR WAKATI WA MAADHIMISHO YA MIAKA MIWILI YA MFUMO WA SNR SEMA NA RAIS MWINYI LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika ukumbi wa Golden Tulip katika Kikao kazi cha Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,)SNR)kilichofanyika leo.[Picha na Ikulu] 29/03/2023.
Viongozi wa Taasisi za Serikali wakiwa katika Kikao kazi cha
Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,kilichofanyika leo
katika Ukumbi wa Golden Tulip chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo
pichani).[Picha na Ikulu] 29/03/2023.
Baadhi ya waalikwa katika Kikao kazi cha Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 29/03/2023.
BAADHI ya Maafisa wa Mfumo wa Sema na Rais (SNR)kutoka taasisi mbali mbali za Serikali wakiwa katika Kikao kazi cha Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 29/03/2023.
Washiriki na Waalikwa katika Kikao kazi cha Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,(SNR)kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba yake.[Picha na Ikulu] 29/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto)alipokuwa akisisitiza jambo wakati akizungumza katika Kikao kazi cha Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,(SNR)kilichowashirikisha maofisa wa taasisi mbali mbali za Kiserikali ambacho kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip .[Picha na Ikulu] 29/03/2023.
Comments
Post a Comment