RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI NA WAHARIRI IKULU
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa Habari na Wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali, wakati wa mkutano wake na Waandishi kila mwisho wa mwezi uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-11-2022.(Picha na Ikulu) MWANDISHI wa Habari Nguli Bw. Salim Said Salim akiuliza swali wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Waandishi uliyofanyika leo 5-11-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)MWANDISHI wa Habari wa Gazeti la Nipashe Bi. Rahma Suleiman akiuliza swali wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Waandishi uliyofanyika leo 5-11-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kujibu maswali ya Waandishi wa Habari, wakati wa mkutano wake na Wahariri na Waandishi wa habari uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-11-2022.(Picha na Ikulu) WAKUU wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Waandishi katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-11-2022.(Picha na Ikulu)
WAANDISHI wa Habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi na waandishi, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-11-2022.(Picha na Ikulu)
Comments
Post a Comment