MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA MAJENGO YA WIZARA MBALIMBALI KATIKA MJI WA SERIKALI – MTUMBA DODOMA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge na Uratibu, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika Mji wa Serikali-Mtumba, Dodoma
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/09/DSC-220-1024x559.jpeg)
Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika Mji wa Serikali – Mtumba jijini Dodoma . Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi huo, Septemba 5, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments
Post a Comment