MAADHIMISHO YA SIKU YA KUTOTUMIA TUMBAKU DUNIANI
Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto , Ummy Mwalimu , akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutovuta Tumbaku Duniani, mazungumzo hayo yalifanyika Ukumbi wa Habari wa bunge jijini Dodoma leoKushoto ni Meneja wa Kanda ya Kati wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)Seraphina Clephace Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ., akizungumza na wanahabari(kulia) ni Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa yasiyoyakuambukiza Dkt, John Kiologwe Mbunge wa Nyangwale , Nassoro Amar, akiuliza swali katika kipindi cha Maswali na majinu cha asubuhi Mbunge wa Musoma Vijijini, Mwita Waitara, akiuliza swali kwa Waziri wa Nishati kwanini Umeme haujafika maeneo mengi ya jimbo lake Waziri wa Nchi ofisi ys Waziri Mkuu George Simbachawene , akibadilishana mawazo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Elizer Mbuki Fereshi, mazungumzo hayo yalifanyika ndani ya ukumbi wa bunge leo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa