CHUO CHA KODI KUFANYA MAHAFALI YA KUMI JUMAMOSI NOVEMBA 18 2017

 Mkuu wa Mawasiliano wa Chuo cha Kodi Oliver Njunwa, akimkalibisha mkuu wa Chuo cha Kodi, Profesa Isaya Jairo (katikati), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mahafali ya chuo hichoyanayotalajiwa kufanyika jumamosi wiki hii, mazungumzo hayo yalifanyika Ofisaini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni  Mkuu wa Utawala  Utafiti na Ushauri wa wa Chuo hicho Emmanuel Masalu


Mkuu wa Chuo cha Kodi Profesa Isaya Jairo (katikati), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mahafali ya chuo hicho yanayotalajiwa kufanyika jumamosi wiki hii, mazungumzo hayo yalifanyika Ofisaini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni  Mkuu wa Utawala  Utafiti na Ushauri wa wa Chuo hicho Emmanuel Masalu na Kushoto ni Mkuu wa mIdara ya Habari wa Chuo hicho Oliver Njunwa. Picha 

ACT WAZALENDO WAMTAHADHALISHA RAIS MAGUFULI KUHUSU UCHUMI

Kaimu Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha  ACT Wazalendo, Yeremia Maganja (katikati), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mdololo wa uchumi nchini na hali ngumu ya maisha ya watanzania kwa sasa, mazungumzo hayo yalifanyika Makao Makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Katibu Itikadi Mawasiliano na Uenezi kwa Umma wa chama hicho Ado Shaibu na kulia ni Juma Ruhava Meya wa mji  Kigoma.

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA