MAHAFALI YA TANO YA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI KATIKA PICHA LEO
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Jenelali Mabeyo, akisalimiana na maofisa baada ya kuwasili chuoni hapo leo kwa ajili ya mahafali ya tano ya chuo hicho cha kijeshi, chuo huiki ni pekee cha mafunzo ya usalama na stratejia ya Kitaifa na Kimataifa, wahitimu kutoka Afrika na China Maofisa wa Jeshi la China wakiwasili Wasanii wa kikosi cha sanaa cha jeshi hilo wakitoa burudani Ofisi ya Mapokezi ya chuo jhicho Waziri wa ulinzi Hussein Mwinyi, akisalimiana na mmoja wa viongozi wa chuo hicho Balozi Kalaghe Wakisubili kupokea wageni Mgeni rasmi akiwasilim kwa ajili ya mahafali hayo Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Balozi Seiff Alli Idd Akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho Balozi Martine Lumbanga Wahitimu wakisaluti Wageni waalikwa ambao wengine ni mamwambata wa kijeshi kutoka nchi za nje wanaowakilisha nchi zao hapa chini Mwenyekiti wa Bodi akitambulisha mahafali hayo Makamu wa Pili wa Rai