JUKWAA LA KATIBA WAANZISHA MIKUTANO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA ILIYOKWAMA

 Mhadhili wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kitivo cha sheria Profesa  Chris Peter Maina, akiwasilisha mada yake iliyosema historia ya uandishi wa katiba Tanzania, katika mkutano mkuu wa kitaifa wa katiba  unaoendelea jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba TanzaniaDeus Kibamba na kulia ni Mwongoza mkutano Israel  Irunde

 Washiriki wakisikiliza mada

Ilunde, akizungumza

 Afisa wa Chama cha ACT Wazalendo Mtemelwa,akichangia mada katika mkutano huo


Mchangiaji akichangia mada
 Kibamba, akimtania Peter katika mkutano huo




 Washiriki wakipiga picha ya pamoja baada ya ufunguzi
 Katibu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena, akitoa mada katika mkutano huo kuhusu wanahabari na ushiriki wao katika mchakato wa katiba iliyopendekezwa




Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA