WANAFUNZI WA DODOMA KITIVO CHA ELIMU WALIPOPEWA SAA 24 KUONDOKA CHUONI
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kitivo cha ualimu zaidi ya 7000 wakiondoka katika chuo hicho baada ya kufukuzwa kwa mgomo walioufanya wakidai walimu hawawafundishi wakiwa kwenye mgomo wa kudai mishahara yao. Akiwa kwenye pikipiki akielekea mjini Hawa wakipanda bajaji kuwahi mjini Hawa wakipanda daladala ili mladi afike mjini Koda akipakiza mizigo yao Hawa wakisubili usafiri Hakika wanafunzi hawa wameonewa sana kama kweli serikali inawatu wenye utu inabidi iwaombe radhi na kuwaljeshea ghalama zao walizotumia kulejea makwao, hawakuwa na kosa lolote la kupewa massa 24 kuondoka katoka maeneo ya chuo kwanini wasiwape muda hata wa masaa 48 na kuwapatia mabasi yakuwalejesha makwao. Wagome walimu katika ugomvi wao na serikali kuhusu malipo ya kufundisha wamekaa wizi zaidi ya tatau bila kufundishwa kosa lao nini badala ya kuwafukuza walimu wao wanakuwa wahanga ndiyo maana hata wabunge wali[peleka hoja binafsi bungeni kutaka serikali iseme kwanini imeten