Posts

Showing posts from April, 2016

BUNGEN I DODOMA LEO

Image
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb)  akiwasilisha hoja za makadirio ya matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2016/17 katika mkutano wa Bunge leo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)   Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge), Musa Uledi mara baada ya kupitishwa kwa bajeti ya Ofisi hiyo  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe Dkt. Abdallah Possi (kushoto) akizungumza na Kamshna Msaidizi Kitengo cha Wenye Ulemavu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb)  akimsikiliza Mratibu wa Taifa wa Programu ya Miundombinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARAF) Bw.Walter Swai nje ya Ukumbi wa Bunge   Naibu Waziri O

KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Tigo Tanzania imeingia ubia na migahawa ya Samaki

Image
Meneja wa Huduma za Masoko Tigo, Olivier Prentout (kushoto) akiongea na wanahabari wakati wa kusaini mkataba wa ushirikiano wa kibiashara kati ya kampuni ya simu za mkononi ya Tigo na Mgahawa wa Samaki samaki. Kulia ni Afisa Mkuu wa Maendeleo wa Mgahawa Samaki samaki, Saum Wengert.   Meneja wa Huduma za Masoko wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Olivier Prentout (kushoto) akiwa na Afisa Mkuu wa Maendeleo wa Mgahawa wa Samaki samaki, Saum Wengert wakionyesha mkataba wa ushirikiano wa kibiashara waliosaini kati ya kampuni ya Tigo na Mgahawa huo kwa waandishi wa habari jana jijini Dar Es salaam.  KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Tigo Tanzania imeingia ubia na migahawa ya Samaki samaki kwa lengo la kufanya kazi pamoja kwa kuleta bidhaa na huduma bora kwa wateja. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Meneja wa Huduma za Masoko wa Tigo Olivier Prentout alisema ushirikiano huo ni moja ya kujenga kwa wateja wa tigo na sasa wanaweza kujitambulisha kupitia migahawa ya Samaki