WAZIRI KITWANGA ALA KIAPO CHA KUWA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Katikati ni Msajili wa Mahakama Kuu, Ilvin Mugeta. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) akimpongeza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga baada ya kumuapisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (katikati), mara baada ya Jaji huyo kumuapisha Waziri Kitwanga kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza, jijini Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akipandisha ngazi za kuingia Mah