Posts

Showing posts from October, 2015

UJUMBE WA RAIS KIKWETE

RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa atastaafu rasmi nafasi yake kama Rais w aNne wa Jamhuri ya Muungano Alhamisi ya Novemba 5, mwakahuu, 2015, wakati Rais mpya na watano atakapoapishwa. Aidha, RaisKikweteleo, Oktoba 25, 2015 amepangafolenikwakiasi cha dakika 16 pamojanawapigakurawenginewakijiji cha kwao cha Msoga, WilayayaBagamoyo, MkoawaPwanikwaajiliyakupigakurakatikaUchaguziMkuuuliofanyikaleo. RaisKikweteakifuatanana Mama Salma KikweteamewasilikatikaKituo cha Kupigia Kura cha HospitaliyaMsogakiasi cha saasitanadakika 21 mchananakwendamojakwamojakwenyefoleniyawapigakuraakiwanawatukiasi cha 12 mbeleyake. Akiwaanaendeleanamazungumzonabaadhiyawanakijijikwenyefoleni, baadhiyawapigakurawenzakewalianzakujisikiavibayakuwambeleyaRaisnakuanzakudaikuwakuwemokwakekwenyefolenikulikuwakunacheleweshafoleninakuwafoleniingekwendakasizaidikamaangetanguliakupigakura. Kusikiahiyo, Raisaliombaradhinakwendamojakwamojakwamsimamiziwakituohic

DC MBEYA ALIKOLOGA

Na Pendo Fundisha Mbeya. MKUU wa Wilaya ya Mbeya, Munasa Nyiremba Sabi,amesababisha mtafaruku mkubwa kwenye vituo vya kupigia kura baada ya kuandaa mawakala na kuwajaza vituoni kwa tiketi ya chama cha NRA huku wakiwa ni wanachama wa CCM. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili katika vituo mbalimbali umegundua kuwepo na mawakala waliosimamiwa na mkuu wa Wilaya hiyo baada ya kuwaita kwenye chuo  kikuu cha Mzumbe na kuwapatia barua za uwakala ambazo zimekataliwa na Tume ya uchaguzi kutokana na dosari zilizojitokeza. Baadhi ya vituo vilivyotembelewa na gazeti hili, viliwakuta mawakala wa NRA ambao ilibainika kuwa hawajaapishwa wala kuthibitishwa na tume ya Uchaguzi wala kuapa hali iliyotiliwa shaka na mawakala wa CCM na Chadema ambao hawakufahamu uwepo wa mawakala hao. Katika kufuatilia sakata hilo, iligundulika kuwa barua za utambulisho zilitolewa na Mkuu wa Wilaya kwa kuandaa kundi la vijana wanaokitii chama hicho lakini barua ya utambulisho ilitolewa ikionyesha kuwa ni mawak

LOWASSA, KIKWETE,PINDA NA UPIGAJI KURA

Image
Mgombea urais wa Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa, akipiga kura katika kituo cha Ngarashi, Kata ya Engutoto wilayani Monduli mkoani Arusha Wananchi waliojiandikishia katika kituo cha bomani bagamoyo mjini wakiwa katika foleni ya kupiga kura  leo   Ofisa katika kituo cha kupigia kura katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga akihakiki kadi ya kupigia kura ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Wananchi wa eneo la kariakoo sokoni wakaiwa katika foleni ya kupiga kura   Ofisa katika kitu cha kupiga kura akimkabidhi Rais Kikwete karatasi za kupiga kura. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiandika kura yake ya siri.   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura ya Rais Mbunge na Diwani katika kituo cha kupiga kura cha hospitali ya kijiji cha Msoga,Kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo(picha na Freddy Mar  Akipakwa wino   Wananchi wa bagamoyo waliojiandikishia katika eneo la Stendi kuu ya bagamoyo wakiwa katika foleni ya k