MSIBA WA SHEKH MKUU SIMBA
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya BAKWATA, akizungumzia taratibu za mazishi ya Sheikh Mkuu wa Tanzania Alhaji Mussa Bin Simba aliyefariki leo asubuhi katika hosipitali ya TMJ jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Masaki
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Masaki
Comments
Post a Comment