WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DSM KAMPASI YA MABIBO NUSURA WAFE KWA MOTO LEO ASUBUHI
baadhi ya wasamalia wema wakisaidia kuokoa vifaa hususan kwenye bweni la wanawake
Moto ulivyofanyan vitu vyake
Vifaa vilivyookolewa
Askari wa zimamoto wakifanya vitu vyao
Kamanda wa kanda ya Polisi ya kinondoni Wambura, akizungumza na wapiganaji wake katika eneo hilo kulinda vifaa vya wanafunzi wasiibiane
yaoWakihakiki vitu v
Wakijitahidi kutafuta vitu vyao kwenye nguo za wenzao waliowahi kuokoa na kuzichanganya
Wakiwa kwenye eneo la tukio
Wanafunzi wakipeana pole
Wakishuhudia uokoaji
Wanajitahidi zimamoto, wakisema wanafunzi hao
Moto ulivyounguza paa la bweni hilo
Askari wa chuo hicho wakiwasachi wanafunzi waliokuwa wakitoka kwenye kampasi hiyo wasije kutoka na vitu vya wenzao
Comments
Post a Comment