Posts

Showing posts from November, 2014

DACICO YAWEKA MPIRA KWAPANI BONANZA LA NACTE

Image
Wachezaji wa Timu ya Chuo cha Elimu ya watu wazima, wakipeana mawaidha muda mfupi baada ya kutoka mapumziko kwenye mpambano dhidi yao na Chuo cha St. Joseph kuwania nafasi ya Upendeleo(Bestlooser) mchezo uliochezwa baadab ya timu zote kupoteza kwenye michezo yake ya awali DACICO YAWEKA MPIRA KWAPANI BONANZA LA NACTE. Yaomba Suruhu kwa NIT, ST.Joseph yapita kwa nafasi ya dhahabu(Best looser). Na: Mwandishi Wetu. 1 -National Institute of Transport - Vs Institute of Adult Education -0 Chuo cha Taifa cha Usafirishaji NIT mwishoni mwa wiki kimefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye  michezo ya Sehemu ya pili ya (Season two) iliyofanyika siku ya  jumamosi ya tarehe  29 katika Viwanja vya Ustawi wa Jamii Kijitonyama baada ya wapinzani wao chuo cha Dar es Salaam City kushindwa kutokea Uwanjani kucheza Fainali kwa lengo la kupata mshindi wa kwanza na wa pili.   NIT walifanikiwa  kuifunga timu ya Institute of Adult Education kwa bao 1-0 mfungaji akiwa ni Abross Kabona dakika 23 kipindi c

MAMBO YA BUNGENI NA VIOJA VYAKE

Image
 Nimrod Mkono, akijisoma nyaraka bungeni  Mnyaa, akisisitiza hoja yake bungeni kuhusu fedha za IPTL  John Myika, akichangia hoja Mwigulu Mchemba, akikili kwamba fedha hizo ni za serikali lazima zilipwe kodi  Wasukuma wanamwita Ngwananchambi yeye alitetea ukwapuaji wa fedha hizo, wanakishapu mpo anawafaa mbunge huyu, mtamkumbuka Mpendazoe shauli yingwe basukuma bichane  Ole Sendeka, akimchambua Profesa Muhongo    Vituko vya Mbunge wa Mwibara, akionyesha bungeni wakati wa kuchangia IPTL, kwa kutaka kuvaa shati la kijana linalovaliwa na wanaccm  Akivaa  kininja ili asiwaonee haya waliokwapua fedha hizo, hata hivyo alikatazwa akavua  Wageni wa bunge wakisikiliza kwa makini  Mtoa hoja Zitto, akimjibu Waziri hawa Ghasia , alipotaka kulipotosha bunge kwa kumtetea Waziri mwenzake Muhongo

BILIONEA DANGOTE AKAGUA TENA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI MTWARA BILIONEA DANGOTE AKAGUA TENA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI MTWARA

Image
BILIONEA DANGOTE AKAGUA TENA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI MTWARA  Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji Aliko Dangote akitumia gari kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake kikubwa cha saruji katika Kijiji cha Msijute, mkoani Mtwara leo.  Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji Aliko Dangote (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Dangote nchini, Esther Baruti kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara leo.  Ndege ya bilionea huyo wa Afrika, Alhaji Dangote ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara  Alhaji Aliko Dangote kutoka Nigeria, akilakiwa na Mwakilishi Mkazi wa Dangote nchini, Esther Baruti alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara leo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG  Balozi wa Nigeria nchini, Dk. Ishaya Manjanbu akimlaki Alhaji Dangote

Kampuni ya Dalbit Petroleum limited yakabidhi polisi pikipiki

Image
Kamishna wa Oporesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Paul Changonja (kulia), akimsikiliza Mkuu wa habari wa Jeshi hilo Seso kabla ya kukabidhiwa pikipiki aina ya Boxer BM na Kampuni ya Dalbit Petroleum limited. Hafla hiyo ilifanyika makao Makuu ya Jeshi hilo . Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Nchini Mohamed Mpinga. Pikipiki hizo ni kwa ajili ya kukabiliana na wahalifu.   Maofisa wa Kampuni ya   Dalbit Petroleum Limitedwakiwa katika hafla hiyo.   Mwenyekiti wa kampuni hiyo Humphrey   Kariuki, akizungumza kabla ya kukabidhi msaada huo  Chagonja, akizungumza kabla ya kukabidhiwa  Chagonja, akijaribu kuendesha pikipiki baada ya kukabidhiwa