Rais Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi Liwale Mkoani Lindi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Liwale katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Viwanja vya Ujenzi Wilayani humo Mkoani Lindi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi katika Mikoa ya Kusini tarehe 17 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na baadhi ya Watu wenye Ulemavu wakazi wa Liwale mkoani Lindi mara baada ya kuhutubia Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Ujenzi Wilayani humo, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi katika Mikoa ya Kusini tarehe 17 Septemba, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwapungia mkono Wananchi wa Wilaya ya Liwale mara baada ya kuwahutubia kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Ujenzi Wilayani humo, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi...