Posts

MKURABITA YAPOKEA UGENI WA KAMATI YA BUNGE

Image
Wajumbe wa kamati ya Kudumu ya  Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakiwasili Makao Makuu ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), kwa ajili ya kujionea utenbdaji kazi wa mpango huo na changamoto zake Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Dk. Pudenciana Kikwembe , akiteta na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Angellah Kairuki  Wajumbe wakisoma taarifa mbalimbali za mpango huo baada ya kukabidhiwa Mratibu wa Mpango huo Seraphia Mgembe, akitoara taarifa nya mpango huo kwa wajumbe  Waziri Kairuki, akizungumza Wajumbe na wafanyakazi wa mpango huo  Wajumbe wakisikiliza kwa makini  Baadhi ya wakurugenzi wa Mpango huo wakipitia taarifa  Mariam Ditopile Mzuzuri ambaye ni mbunge wa viti maalum ccm, akiuliza swali  Wajumbe wakipitia hati za kimira za ardhi  hapa hakuna longolongo kazi inafanyika hunda ndvyo wanavyo...