Posts

KIKAO CHA KUPATA MAJINA MATANO KIKIENDELEA MJINI DODOMA NA BADAI KUINGIA CHA KAMATI KUU LEO HII

Image
 Mpiga picha wa Azam TV, akichukua picha kwa juu majengo ya CCM Makao Makuuleo asubuhi kabla ya v ikao havijaanza vya kumpata mgombea urais kupitia chama hicho BALOZI Salim Ahmed Salim, akisalimiana na Mtangazaji Charles Hilari wa Azam TV makao makuu ya ccm mjini Dodoma leo  Salim, akisalimiana na mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM,  baada ya kukutana makao makuu ya chama hicho leo  Mabegi ya wajumbe wa kamati kuu yakiandaliwa kwa ajili ya wajumbe  Wajumbe wa kamati ya cc ya ccm wakibadilishana mawazo, salim na Mbarawa  Yakipelekwa katikam ukumbi mpya wa ccm Wajumbe wakisubili kuingia ukumbi kwenda kufyeka wagombea urais na kubaki watano  Nchimbi na Kificho wakisoma meseji kabla ya kuingia ukumbini kuanza kikao ambapowalitakiwa kuacha simu mlangoni kila mjumbe  Wajumbe wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kikao  MASPIKA wakiwa kwenye kiako hicho...