Posts

TCRA YAWAFANYIA WARSHA WANAFUNZI WA KIKE WA SONDARI

Image
 Afisa kutoka mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Devota Mkwawa Mushi, akitoa mada yake  katika warsha kwa wananfunzi wa shule za Sekondari za Kambangwa na Hananasifu , katika maadhimisho ya siku ya teknolojia kwa watoto wa kike.Mamlaka hiyo iliandaawasha hizo kwa siku mbili zilizokuwa mahususi kwa watoto wa kiko kutoka Sekondari za mkoa wa Dar es salaam  Miss Luhwanya, akitoa mada yake kuhusu teknolojia  MAafisa wa TCRA, wakifuatilia warsha hiyo kwa umakini mkubwa  Mmoja wa wanafunzi akipewa chiti baada ya kufuanikiwa kuwa mshindi klatika moja ya maswali yaliyoulizwa baada ya warsha hiyo na kufanikiwa kujisomea muda wa wiki mbili kozi ya kompyuta Mmoja wa wanafunzi kati ya wawili waliofanikiwa kujishindia katika kujibu maswali yaliyoulizwa baada ya warsha hiyo na kufanikiwa kujisomea kozi ya kompyuta, hapa akipewa cheti na mgeni rasmi  Afisa habari wa Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA), Sem Mwakyanjala, aki...

SHEREHE ZA MIAKA 70 YA UN JIJINI DAR NA MATUKIO MENGINE

Image
Keki maalum iliyoandaliwa kwenye sherehe za uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa uliofanyika mwishoni mwa juma kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam. Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna Collins kabla ya zoezi la kuwasha mishuma 70 kwenye cake hiyo ikiwa ni uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Kushoto ni Mshehereshaji wa sherehe hizo Afisa Habari wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Usia Nkhoma Ledama. Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa pili kulia) na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna Collins wakiwa wamejumuika na wafanyakazi wa ...