JIWE LA MSINGI LA TAASISI YA NYERERE DAR
Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao (kushoto) na Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda (kulia) kwa pamoja wakizindua jiwe la msingi katika eneo litakapojengwa jengo la Taasisi ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao (wa pili kushoto) akiwa na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda (katikati), akiwasili eneo litakapojengwa jengo la Taasisi ya wa Mwalimu Nyerere karibu na bandari jijini Dar es salaam Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao (katikati) na Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda (wa pili kulia) kwa pamoja wakizindua wakimwaga mchanga kuashiria kuanza kwa ujenzi jengo la Taasisi ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.Kulia ni Balozi wa China nchini Tanzania Lu Youqing. Mama Maria Nyerere (kushoto) akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Mkapa wakati wa hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa jengo la Taasisi ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. ...