Posts

Showing posts from February, 2026

WAZIRI WA UCHUKUZI PROFESA MAKAME MBARAWA

Image
Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, akizungumza na wanahabari katika ukumbi wa Idara ya habari (MAELEZO) Mtumba jijini Dodoma. akizungumzia siku 100 za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.  

KATIBU MTE NDAJI TUME YA MIPANGO AZUNGUMZA NA WANAHABARI JIJINI DODOMA

Image
Katibu Mtenji wa Tume ya Mipango, Dkt. Fred Msemwa, akizungumza na wanahabari kuhusu maandalizi ya kuanza kwa utekelezaji wa Dira 2050 mazungumzo hayo yamefanyika jijini  Dodoma  leo