TAKUKURU NA TRA WAWABAINI WAKWEPA KODI
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya mapato tanzania (TRA) Alphayo Kadata, akizungumza na wandishi wa habari kuhusu kugundua kuwepo na makampuni zaidi ya 300 yanayotumia risti hewa za mamlaka hiyo na kukwepa kodi zaidi ya Sh Bilioni 300 kwa zaidi ya miaka 7 sasa, mazungumzo hayo yalifanyika makao makuu ya TAKUKURU leo jioni. kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Valentino mlowola Akisoma baadhi ya makapuni hayo Mkurugenzi TAKUKURU, akizungumza Valentino Mlowola, akisistiza wakwepa kodi wote wajisalimisha ama sivyo wataishia kwenye vyombo vvya sheria Wanahabari wakichukua habari hizo