WABUNGE MAHAKAMANI LEO
Gari la Takukuru lililowabeba wabunge Kangi Lugola, Sadiq muradi na Victor Mwambalaswa, likiwasili katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo kuwapandisha kizimbani wakidaiwa kushawishi kupokea rushwa wakiwa kwenye majukumu yao ya kikazi katika hoteli ya Golden Tulip jijini dar es Salaam kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauli ya Gairo mkoani Morogoro Ulinzi katika Mahakama hiyo Afisa wa Takukuru, akienda kuandaa mazingira ya kuwapandisha kizimbani Takukuru wakifungua milango ya gari kwa ajili ya kuwashusha Muradi akiwa wa kwanza kushuka Mwambalaswa wakimsubili LUgola Wakienda kupanda kizimbani Lugola akionyesha alama ya ushujaa Wakienda kupanda kizimbani Wakiingia katika kizimba cha Mahakama Wakifurahia jambo Baadhi ya ndugu na jamaa wa washtakiwa wakiwa katika mahakama hiyo Wakisomewa mashtaka